1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha kesi za bandia kingalipo Tanzania

Sudi Mnette1 Aprili 2021

Wakati kukiwa na kauli za kuombana misamaha na himizo la maridhiano kwa yale yaliyotokea katika awamu ya uongozi uliopita nchini Tanzania wa Hayati, Rais Jonh Pombe Magufuli, kumekuwa na lawama za watu kuhangaika na kesi za kubambikiwa na baadhi yao wakiwemo magerezani. Jebra Kambole ni wakili ambaye pia ni mwanaharakati wa haki za binaadamu na anaelezea hali ilivyo.

https://p.dw.com/p/3rVPZ