1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilifi bado wanasubiri matokeo

Josephat Charo
12 Agosti 2022

Wakazi wa Kilifi wamegadhabishwa na jinsi shughuli nzima ya kuhesebu kura inavyoendeshwa katika kaunti hiyo. Siku ya pili tangu kukamilika kwa zoezi la kupiga kura, hakuna matokeo yoyote yaliyokuwa yametangazwa. Ancilla Masika Gari anaripoti kutoka mjini Kilifi.

https://p.dw.com/p/4FSxw