1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kikosi kazi: Matokeo ya urais Zanzibar yahojiwe mahakamani

2 Novemba 2022

Kikosi kazi kilichoundwa na Rais wa Zanzibar Daktari Hussein Mwinyi kimependekeza matokeo ya urais wa Zanzibar yahojiwe mahakamani pamoja na tume ya uchaguzi kufanyiwa mabadiliko ikiwemo nafasi za wajumbe kutangazwa na kuangaliwa upya utaratibu wa kura ya mapema ambayo imeleta changamoto kubwa katika uchaguzi uliopita wa 2020.Isikilize ripoti ya Salma Said kutoka Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4IyBq