1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijana avumbua umeme unaotumia maji na upepo Malawi

Angela Mdungu-Jokisch12 Februari 2024

Kijana Ernest Andulu ametengeneza umeme kwa kutumia upepo na maji. Uvumbuzi wa kijana huyo umezifanya nyumba sita kunufaika na huduma hiyo. Kwingineko, wataalamu wa teknolojia wanafanya juhudi za kufanya akili ya kubuni iwe sehemu ya mitaala mashuleni. Ungana na Angela Mdungu katika makala ya Sema Uvume kufahamu zaidi.

https://p.dw.com/p/4cJRU