1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijana anayewahimiza wenzake kujikubali

4 Oktoba 2019

Leila Akinyi au Miss Akinyi alizaliwa Mombasa lakini amekulia Ujerumani. Anasimulia baadhi ya changamoto ambazo amekutana nazo kama kijana.

https://p.dw.com/p/3Qkn4