1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiir na Machar watakiwa kutekeleza mkataba wa amani

12 Septemba 2019

Baraza la Viongozi wa kidini Barani Afrika limewataka viongozi wa Afrika Mashariki kuwashinikiza Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani nchini Sudan Kusini Riek Machar kutekeleza mkataba wa amani kwa nia njema.

https://p.dw.com/p/3PU0j