1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kesi ya ubakaji yaendelea kuunguruma nchini Tanzania

Deo Makomba (HON)23 Agosti 2024

Huko nchini Tanzania wakati kesi ya watuhumiwa wanne kwenye kesi ya kumbaka na kumlawiti binti mmoja ikiendelea katika mahakama ya hakimu mkaazi mjini Dodoma, mahakama hiyo imetoa wito wa kufika mahakamani kwa mwanamke mmoja kwa jina la Fatma Kigondo anayelalamikiwa kwa kosa hilo hilo la kubaka kwa kundi. Mwenzetu Deo Kaji kutoka Dodoma Tanzania alituandalia ripoti kamili.

https://p.dw.com/p/4jrkd