1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kesi dhidi ya Maxence Melo wa jamii Forum zahitimishwa

17 Novemba 2020

Mwandishi habari, muasisi mwenza wa jukwaa maarufu la habari na mijadala, Afrika mashariki na Kati la Jamii Forum Maxence Melo hatimae kesi yake imefikia mwisho kwa kuachiwa huru. Melo alikuwa akiandamwa kwa miaka kadhaa na kesi ya uvunjifu wa sheria ya mtandaoni iliyopitishwa mwaka 2015 nchini Tanzania. DW imezungumza naye na kwanza anaanza kwa kueleza.

https://p.dw.com/p/3lOYm