1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenyatta: Naheshimu maamuzi ya mahakama ya juu

Saumu Yusuf6 Septemba 2022

Rais wa Kenya anayeondoka Uhuru Kenyatta jana alitoa hotuba ya takriban dakika 7 iliyoashiria kwamba anaheshimu maamuzi ya mahakama ya juu iliyoafiki ushindi wa William Ruto. Hotuba yake imepongezwa na baadhi ya Wakenya lakini imetafsiriwa kwa namna mbalimbali na jamii ikiwemo wachambuzi wa kisiasa. Sikiliza mahojiano kati ya Saumu Mwasimba na mchambuzi wa kisiasa Profesa Chacha Nyaigoti.

https://p.dw.com/p/4GTBa