1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenyatta awaomba Wakongo kuishi kwa amani, kusameheana

Shisia Wasilwa
5 Desemba 2022

Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amefunga rasmi kikao cha Jumuiya ya Afrika Mashariki, kilicholenga kutafuta ufumbuzi wa mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo. Kenyatta amewashauri wawakilishi wa pande zote mbili kusameheana na kuishi kwa amani, huku makundi yaliyojihami yakikubali kusitisha makabiliano. Shisia Wasilwa alituandalie ripoti hii.

https://p.dw.com/p/4KUyu