1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenyatta akabiliwa na uasi wa kisiasa katika ngome yake

22 Novemba 2019

Miongoni mwa mengi tuliyokuandalia katika Afrika wiki hii ni pamoja na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akabiliwa na uasi wa kisiasa katika ngome yake ya Rift Valley, kuhusu ripoti ya BBI,Na upinzani nchini DRC waikosoa bajeti ya kwanza ya rais Tschisekedi wakati Rwanda ikituhumiwa kufanya mashambulizi nchini Burundi.

https://p.dw.com/p/3TXvz