1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yasema imejiimarisha kiusalama wakati wa uchaguzi

Shisia Wasilwa28 Januari 2022

Vyombo vya usalama nchini Kenya vimesema vimejiandaa vya kutosha kukabiliana na uvunjifu wa usalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa agosti 9. Waziri wa Usalama wa Taifa wa Kenya Fred Matian'gi ameuhakikishia umma wa taifa hilo kuwa kikosi chake kitahakikisha usalama unadumishwa wakati wote wa uchaguzi na kuwaonya wanasiasa wanaoneza chuki. Kutoka mjini Nairobi Shisia Wasilwa alituarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/46ExR