1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yapanga siku tatu za maombi kuelekea uchaguzi mkuu

Wakio Mbogho5 Julai 2022

Kamati andalizi ya maombi ya kitaifa nchini Kenya imepanga siku tatu za kuiombea nchi hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti, wakielezea wasiwasi kuhusu hali ya kisiasa. Wiki mbili zilizopita kampeini ya msafara wa amani ilizinduliwa baada ya kuibuka matokeo ya vurugu wakati wa mikutano ya kisiasa. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Wakio Mbogho kutoka kaunti ya Nakuru.

https://p.dw.com/p/4DgDt