1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yapambana na wimbi la mauaji na miili kutelekezwa

15 Julai 2024

Kenya inapambana na wimbi jipya la mauaji ya wanawake na mshukiwa mkuu amekamatwa. Haya yanajiri baada ya maiti zisizopungua 8 kupatikana kwenye magunia timboni mtaani Kware eneo la Embakasi jijini Nairobi. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4iJae