1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yaimarisha juhudi za kufikia nishati safi

Wakio Mbogho19 Mei 2023

Serikali ya Kenya imeimarisha juhudi zake za kufikia asilimia 100 ya nishati safi kufikia mwaka 2030 kwa kutekeleza miradi ya maji inayotumia nguvu za jua. Mradi wenyewe unatumia teknolojia ya nguvu za jua ili kupeleka maji hadi kwenye nyumba za watu.

https://p.dw.com/p/4RakO