1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yafungua milango kwa raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Bruce Amani Alakonya29 Novemba 2017

Kenya imetangaza kuwa raia kutoka nchi za Kiafrika sasa wataweza kupewa kibali cha Visa wanapowasili nchini humo hatua ambayo inalenga kuimarisha mahusiano kati yake na mataifa mengine barani Afrika.

https://p.dw.com/p/2oRZk