1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yachukua hatua dhidi ya virusi vya Corona

Amina Abu Ali Mjahid23 Januari 2020

Tayari watu zaidi ya 571 wameambukizwa ugonjwa huo huku watu 17 wakipoteza maisha, hii ikiwa ni kutokana na taarifa ya serikali ya China. Kenya tayari imeanza kuchukua tahadhari kwa kuwakagua wasafiri wanaoingia nchini humo kutoka China kupitia viwanja vyake vya ndege. Kuhusu virusi hivyo Amina Aboubakar amezungumza na daktari Aizack Maro.

https://p.dw.com/p/3WgRL