1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Wito wa kuunda afisi ya kiongozi wa upinzani

Shisia Wasilwa9 Januari 2023

Rais William Ruto wa Kenya amewaandikia barua maspika wa mabunge mawili ya taifa hilo; lile la taifa na Seneti kwa lengo la kuwasilisha muswada wa kuunda afisi ya kiongozi wa upinzani. Ruto ameelezea kuwa lengo la hatua hiyo ni kupanua demokrasia nchini humo na wala sio kuunda nafasi ya ajira kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga. Sikiliza ripoti ya Shisia Wasilwa kutoka jijini Nairobi.

https://p.dw.com/p/4Ltpg