1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Wapambe wa Gachagua wahojiwa kuhusu maandamano

31 Julai 2024

Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kenya (DCI) imeripotiwa kuwahoji maafisa kadhaa wakuu serikalini wanaoshirikiana na Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusu madai ya kuhusishwa na wahalifu waliojipenyeza katika maandamano ya kuipinga serikali. Zaidi Suleman Mwiru amezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya, Profesa Herman Manyora.

https://p.dw.com/p/4ixQ5