Matangazo
Chanjo hiyo itatolewa kwa wasichana wenye chini ya umri wa miaka 14 na ambao hawajaanza kushiriki tendo la ndoa.
Katika eneo la Afrika Mashariki, Tanzania ilianza kutoa chanjo hiyo Aprili, 2018, huku Rwanda kwa upande wake ikilifanikisha hilo tangu mwaka 2011.
Mengi zaidi kuhusu mpango huo na jinsi utakavyotekelezwa, ungana na Thelma Mwadzaya katika makala ya Afya Yako.