1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya kulipa kodi za biashara za mtandaoni kuanzia Januari

Thelma Mwadzaya/MMMT16 Novemba 2020

Wakenya watalazimika kulipia kodi huduma za kufanya biashara mtandaoni ifikapo Januari mwakani. Kodi hii inaandaliwa mahsusi kwa wafanyabiashara walioko nje ya nchi ila wanapata wateja ndani ya mipaka ya Kenya.Mamlaka ya kukusanya kodi nchini Kenya tayari imeanza kuandaa mikakati ya kodi hiyo ya mitandaoni. Hi ndio mada katika Sema Uvumena Thelma Mwadzaya.

https://p.dw.com/p/3lM2h