1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: IEBC yakiri vituo 1,000 vya kura havina mtandao wa 3G

Thelma Mwadzaya22 Julai 2022

Zaidi ya vituo 1,000 vya kupigia kura havina mtandao wa 3G imeweka bayana tume ya uchaguzi nchini Kenya jambo linalozua utata. Vituo hivyo viko katika kaunti 34 kati ya zote 47. Hali hiyo inawatia shaka wanasiasa ikikumbukwa kuwa mwaka 2017 teknolojia sawia iliyotumika ilizua utata kwenye uchaguzi mkuu wakati huo. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4EWpe