1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Biashara ya ufugaji nyuki

29 Aprili 2016

Kalume anafuga nyuki wa kienyeji karibu ya Pwani ya Kenya. Ni kazi ambayo imemleta faida. Faida inayotokana na ufugaji huo imeongezeka zaidi ya mara nne na idadi ya wateja wake inaongezeka.

https://p.dw.com/p/1If5q
Kenia Wildhonig
Picha: DW

Kenya: Biashara ya ufugaji nyuki