1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya bado yagonga vichwa vya habari Afrika Wiki Hii

12 Julai 2024

Rais William Ruto avunja baraza lake la Mawaziri huku bado akiendelea kukabiliwa na shinikizo la vijana wanaotishia kuendelea kuandamana hadi atakapojiuzulu.Kikosi cha kulinda amani cha UN nchini Kongo chasitisha kwa muda ratiba ya kuondoka Kivu Kaskazini na Ituri. Na mji wa CapeTown wakumbwa na mafuriko mabaya nchini Afrika kusini. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki Hii.

https://p.dw.com/p/4iERT