1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kauli ya Evariste juu ya mazungumzo na waasi ina maana gani?

Lillian Mtono12 Mei 2022

Kauli ya rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye kwamba yuko tayari kwa mazungumzo na waasi ina maana gani? Wachambuzi wanasema ni mapema mno kuanza kutolea tathmini ya kina tamko hilo, ingawa linaashiria nia njema ya serikali ya Burundi ambayo hata hivyo ina changamoto ya kutanguliza mabavu katika maamuzi yake. Lilian Mtono amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa aliyeko Burundi Ali Mali.

https://p.dw.com/p/4BDTq