1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kauli ya Rais Samia kuhusu wachezaji wa kike yakosolewa

Rashid Chilumba / MMT24 Agosti 2021

Matamshi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa hivi karibuni kuwa wanawake wanaocheza mpira wa miguu hupoteza haiba ya kike na hata mvuto wa kupata mwenza wa kufunga naye ndoa bado yamehanikiza mjadala nchini Tanzania. Msikilize Somoe Ng'itu, katibu mkuu wa chama cha mpira wa miguu kwa wanawake nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/3zQ16