1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Mkwamo kuelekea kutimiza Agenda 2030

Josephat Charo
22 Septemba 2023

Katikati ya safari ya kuelekea kutimiza Agenda 2023, ripoti kuhusu maendeleo ya kuyafikia malengo endelevu ya Umoja wa Mataifa inaonyesha zaidi ya nusu ya ulimwengu unawachwa nyuma. Jiunge na Josephat Charo na wachambuzi katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara wakijadili mkwamo uliopo kuelekea kutimiza malengo haya.

https://p.dw.com/p/4Wf8o