1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baada ya kuipuuza mahakama Zuma atupwa jela

9 Julai 2021

Miongoni mwa yaliyomo kwenye Afrika wiki hii ni Kutiwa jela kwa rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma. Sudan Kusini yaadhimisha miaka 10 ya uhuru na Baa kubwa la njaa lainyemelea Msumbiji. Ungana na Saumu Mwasimba katika makala ya Afrika Wiki Hii

https://p.dw.com/p/3wHXe
Südafrika | Jacob Zuma
Picha: Shiraaz Mohamed/AP Photo/picture alliance