1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karume anyimwa fursa ya kuzungumza Siku ya Sheria Tanzania

6 Februari 2019

Febuari 6 ni Siku ya Sheria nchini Tanzania, na huadhimishwa kwa sherehe rasmi jijini Dar es Salaam. DW imezungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS Fatma Karume, aliyearifiwa kwamba hatopewa fursa ya kutoa hotuba kutokana na ufinyu wa muda.

https://p.dw.com/p/3Cq8V