1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karrenbauer: Syria kaskazini kubuniwe eneo salama

30 Oktoba 2019

Pendekezo la Waziri wa Usalama wa Ujerumani Annegret Kramp Karrenbauer la kutengwa eneo salama kaskazini mwa Syria litakalosimamiwa na Umoja wa Mataifa limezusha mjadala mkubwa Ujerumani. Kuna maoni tofauti kutoka kwa washirika wa serikali ya muungano Ujerumani pamoja na vyama vya upinzani. Sura ya Ujerumani inaangazia jinsi pendekezo la waziri huyo lilivyopokelewa.

https://p.dw.com/p/3SCHf