1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karibuni: Ramadhani na faida zake

Saumu Yusuf1 Aprili 2022

Kwenye mpango wetu wa Karibuni, kama kawaida tunakupa makala ya burudani na mengine kemkem ikiwemo ya kukuelimisha, kutoka mtambo mkubwa DW mjini Bonn. Miongoni mwa utakayosikia kwenye kipindi hiki ni umuhimu wa mfungo wa Ramadhan na faida zake. Nahodha wako usukani ni Saumu Mwasimba. Karibu!

https://p.dw.com/p/49K2w