1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karibuni na mwanamitindo mkongwe Diana Mgesa wa Tanzania

Saumu Yusuf2 Septemba 2022

Makala ya Karibuni wiki hii inazungumza na mwanamitindo mkongwe kutoka nchini Tanzania, Diana Magesa. Diana ni mwanamitindo mbunifu wa mavazi na vitu vya urembo vya kike.Lakini ubunifu wake ni wa aina ya pekee kabisa wa kutumia maarifa makubwa sana nje ya mipaka ya kawaida. Saumu Mwasimba ndiyo nahodha wako.

https://p.dw.com/p/4GMh8