1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karibuni: kuelekea miaka 60 ya idhaa ya kiswahili ya DW

Saumu Yusuf27 Januari 2023

Dw kiswahili inaelekea kutimiza miaka 60 tangu ilipoasisiwa huko mjini Koln.Tarehe 1 Februar inasherekea pamoja nawe msikilizaji wetu.Makala ya karibuni imesheni mengi ikiwemo mitazamo na matajio ya baadhi yenu wasikilizaji wetu.jiunge na Saumu Mwasimba kwa uhondo huo wa karibuni unaojumuisha mgeni wa Wiki mwanahawa Ali muimbaji mkongwe wa taarabu.

https://p.dw.com/p/4MnoH