1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kansela Merkel akutana na viongozi wa Afrika

Sudi Mnette27 Agosti 2021

Mkutano wa kilele wa marais wa Afrika na Kansela wa Ujerumani kuhusu uwekezaji barani Afrika hasa katika sekta ya miundombinu umeanza Ijumaa Berlin.

https://p.dw.com/p/3zYou