1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya uchaguzi wa bunge la Ulaya

John Juma16 Mei 2019

Kampeni ya uchaguzi wa bunge la Ulaya zimeshaanza katika nchi mbalimbali wanachama. Je, ni masuala gani yanayojitokeza mno kwenye kampeni hizo? Ili kupata taswira kamili, John Juma amezungumza na Hashil Seif ambaye ni raia wa Denmark na kwanza anazungumzia vyama vyenye ushindani mkali nchini humo.

https://p.dw.com/p/3IrsT