1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya "Acha Gun Shika Mic"

Josephat Charo
20 Agosti 2018

Suala la ukosefu wa usalama ni kati ya matatizo makubwa mjini Mombasa, Kenya. Changamoto hii imewaathiri sana vijana wa Pwani ya Kenya. Baadhi wameingilia uhalifu na kubaki kuwahangaisha wakazi hasa katika maeneo ya mji wa kale, Kisauni, na Majengo.

https://p.dw.com/p/33Pdj
Mombasa Jugendkampagne Acha Gun Shika Mic
Kutoka kushoto, Kelvin Omondi a.k.a Ohms Law Montana, Fathiya Omar, Krispee, John Tsuma Mumba na Ali RashidPicha: DW/F. Omar
Mombasa Jugendkampagne Acha Gun Shika Mic
Fathiya Omar, mwenye buibui, akiwa na vijana wanaofanya kampeni ya "Acha Gun Shika Mic" eneo la Fort Jesus, MombasaPicha: DW/F. Omar
Mombasa Jugendkampagne Acha Gun Shika Mic
Fathiya Omar, mwenye buibui, akiwa na vijana wanaofanya kampeni ya "Acha Gun Shika Mic" eneo la Fort Jesus, MombasaPicha: DW/F. Omar