1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kamanda mpya wa EACRF Alphasard Muthuri awasili Goma

Benjamin Kasembe19 Mei 2023

Kamanda mpya wa kikosi cha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, EACRF Meja Jenerali Alphasard Muthuri Kiugu amewasili katika mji wa Goma kuanza majukumu yaake. Meja Jenerali Kiugu anachukua nafasi ya Meja Jenerali Nyagah ambaye alijiuzulu mwishoni mwa mwezi uliopita.

https://p.dw.com/p/4Ran1