1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kagame asita kubainisha kama atagombea tena au la

Daniel Gakuba24 Desemba 2015

Rais Paul Kagame wa Rwanda amewashukuru wapigakura nchini mwake, kwa kuidhinisha mabadiliko ya katiba na kumpa uwezo wa kuiongoza nchi hadi mwaka 2034.Hata hivyo, hakutamka bayana kama atagombea tena baada ya muhula wake kumalizika mwaka 2017, au la.

https://p.dw.com/p/1HRJC