1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabendera aachiwa huru

George Njogopa / MMT24 Februari 2020

Mwandishi wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Eric Kabendera leo ameachiwa huru na mahakama ya kisutu baada ya kukiri makosa yake na mahakama hiyo kumwamuru kulipa fidia ya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa makosa yote aliyokuwa akituhumiwa. Sikiliza ripoti hii ya George Njogopa kutoka huko Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/3YL6D