1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jussa apendekeza kuundwe serikali ya umoja wa kitaifa

Thelma Mwadzaya10 Novemba 2020

Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anauguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano visiwani Zanzibar. Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa upinzani. Thelma Mwadzaya anazungumza Kinagaubaga na Jussa kuhusu siasa za visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/3l5lr