1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro wa Niger waendelea kuzusha khofu barani Afrika

18 Agosti 2023

Miongoni mwa yaliyomo katika Afrika wiki nii ni mgogoro wa Niger ambapo nchi za Jumuiya ya ECOWAS zajiandaa kupeleka jeshi kumsadia rais Mohammed Bazoum kurudi madarakani. Nchini Tanzania kanisa Katoliki lajitosa katika mvutano kuhusu mkataba wa bandari,kwa kutoa tamko la kuupinga mkataba huo. Na nchini Libya vita vya makundi yanayokinzana vyaibuka upya.Jiunge na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4VKqD