1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za wanaharakati kupigania haki za walemavu Afrika

Yusra Buwayhid
5 Agosti 2019

Katika kipindi cha Mbiu ya Mnyonge, Mohammed Dahman anaangazia juhudi za wanaharakati wa Afrika za kupambana na ubaguzi na unyanyapaa dhidi ya walemavu. Walemavu wanakadiriwa kuwa na idadi ya watu milioni moja barani humo.

https://p.dw.com/p/3NMxW