1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Sudan Kusini wataka Mageuzi nchini mwao

7 Novemba 2019

Vijana watatu kutoka Sudan Kusini wenye kati ya umri wa miaka 20 na 24. Ni wanachama wa vuguvugu la Red Card Movement ukipenda Vuguvugu la Kadi Nyekundu linaloshinikiza uwepo wa amani na mapatano kwa Viongozi wa taifa hilo. Shisia Wasilwa amezungumza nao katika Makala ya mbiu ya mnyonge.

https://p.dw.com/p/3SeNu