1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watu wasiopungua 4000 wamepoteza maisha nchini Libya

15 Septemba 2023

Miongoni mwa yaliyoripotiwa wiki hii kutoka barani Afrika ni majanga ya Kimbunga Libya na tetemeko la ardhi nchini Morocco ambako maelfu wamepoteza maisha na maelfu ya wengine wameachwa bila makaazi ya kusihi.Rais Samia Suluhu huko Tanzania awaonya wapinzani dhidi ya kutumia mikutano ya hadhara kueneza chuki.Na serikali ya William Ruto yatimiza mwaka mmoja madarakani.Jiunge na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4WOZJ