1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kutokomeza vifo vya mama wajawazito Zanzibar

Salma Said/MMT20 Juni 2022

Makala ya afya yako. Licha ya kampeni za muda mrefu za kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto, hali hiyo bado ni changamoto kubwa kwa nchi nyingi barani afrika. Zanzibar ni miongoni mwa nchi zinazokabiliana na hali hiyo na hivyo kushirikiana na nchi washirika katika jitihada za kutokomeza vifo wakati wa kujifungua. Ungana na Salma Said kwa mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/4CwZ3