1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za utunzanji wa mbegu za asili Tanzania

Veronica Natalis
1 Juni 2023

Serikali ya Tanzania inajidhatiti kutunza na kuendeleza mbegu za asili zilizo katika kitisho cha kutoweka kupitia ongezeko la bajeti ya kilimo iliyosomwa katika bunge la Tanzania linaloendelea mjini Dodoma Tanzania. Mbegu hizo za asili sasa zimebaki kwa wakulima wachache wanaofanya juhudi binafsi za kuzitunza lakini hata hivyo hakuna uhakika kwamba zitasalia kwa muda mrefu.

https://p.dw.com/p/4S343