1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

John Pombe Magufuli azikwa

26 Machi 2021

Mwili wa hayati John Pombe Magufuli, rais wa awamu ya tano wa Tanzania aliyefariki tarehe 17.3.2021 mjini Dar es Salaam, umezikwa kijijini kwao Chato.

https://p.dw.com/p/3rFVs