1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Jinsi ya kuepuka habari feki kuhsusu corona

2 Aprili 2020

Katika Sema Uvume Sylvia Mwehozi anatoa mbinu za kupambana na habari feki mtandaoni, hasa zinazohusiana na mlipuko wa virusi vya corona. Mtaalamu Lea Mushi ataelezea matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii.

https://p.dw.com/p/3aLpE