1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi la polisi Hong Kong latishia kutumia risasi za moto dhidi ya waandamanaji

18 Novemba 2019

Maandamano mjini Hong Kong yamekumbwa na ghasia mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa, na maafisa wa polisi sasa wametishia kutumia risasi za moto sdhidi ya waandamanaji. Mengi zaidi ni katika vidio hii ya Kurunzi

https://p.dw.com/p/3TEGi