1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi la DR Congo layashambulia makundi yenye silaha Kigoma

Mitima Delacance(HON)30 Novemba 2021

Jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo limeua wanamgambo wanne na kujeruhi wengine 3 katika operesheni linayoifanya katika baadhi ya vijiji maeneo ya Kigoma wilayani Uvira tangu jumapili dhidi ya makundi yenye silaha. Mitima Delachance anaripoti zaidi kutoka Bukavu.

https://p.dw.com/p/43ejj